RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mh Dr John Pombe Magufuli, ametangaza majina ya watu aliowateua
kushika nafasi za uwaziri na unaibu waziri, huku nafasi kadhaa za wizara zikiwa
bado hazijapata wahusika wake.
Ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala
bora: Mawaziri
ni George Simbachawene na Angela Kairuki, Naibu waziri Jaffo Selemani Said
Ofisi ya makamu wa Rais, muungano na mazingira: Makamba na naibu wake ni Mpina
Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma
Ulemavu: Waziri ni Anthony Mavunde
Kilimo, mifugo na uvuvi: Waziri ni Mwigulu Lameck Nchemba, Wiliam Nashe naibu waziri
Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Edwin Ngonyani.
Fedha na mipango: Waziri bado tunamtafuta, naibu waziri ni Kijachi
Nishati na madini: Waziri ni Professa Muhongo, Naibu waziri ni Medadi
Katiba na sheria: Waziri Harisson Mwakyembe
Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Waziri ni Augustino Mahiga ambae nimemteua kuwa mbunge na kisha waziri, Naibu ni Dr Suzan Kolimba.
Ulinzi na kujenga taifa: Waziri ni Dr. Hussein Mwinyi
Wizara ya mambo ya ndani: Charles Kitwamba
Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula
Maliasili na Utalii: Waziri bado, naibu ni Ramo Makala
Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage
Elimu, Sayansi na ufundi: Waziri bado hajapatikana, Naibu ni Stella Manyanya
Afya, maendeleo ya jamii na Ustawi wa jamii: Ummy Mwalimu, Naibu ni Hamis Andrea Kingwangala
Habari, utamaduni, wasanii na michezo: Nape Nnauye, naibu Anastazia Wambura
Wizara ya maji na umwagiliaji: Makame Mbarawa ambae nilimteua kuwa mbunge, Naibu ni Kamwene

No comments:
Post a Comment