https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Tuesday, December 22, 2015

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akutana na mabalozi wa Kuwait na Rwanda ofisini kwake, jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Nasem Al Najem na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura, alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura, alipofika Ofisini kwake Ikulu jini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura na msaidizi wake Issa, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...