https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Thursday, December 31, 2015

Promosheni ya GAPCO ya jaza mafuta na ushinde yafikia droo ya nne

Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (katikati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wake kujipatia lita 40 za mafuta kwa kila mshindi wa droo hiyo kila wiki. Kulia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid, na kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania, Michael Chobu.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...