https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Thursday, May 07, 2015

Francis Cheka kukwaana na Mthailand jijini Dar es Salaam Mei 30

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,

Akizungumza matayalisho ya mpambano huo, promota Kaike Siraju alisema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipipwa nchini P.ST chini ya rais wake Emanuel Mlundwawamesema kuwa wao wako tayali kwa mpambano uho na bondia wa Thailand ataingia nchini siku tatu kabla ya mpambano uho ambao uatavuta isia za wapenzi wengi wa mchezo wa ndondi nchini siku hiyo  Vicent Mbilinyi 'Sugu'  atavaana na  Keis Amal Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez, Mike Tyson, Mohamed Ali, Ferex Trinidad, Miguel Cotto na wengine wengi pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...