https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Sunday, July 03, 2016

Taarifa za mipango ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa zamani wa Kilindi, Beatrice ShelukindoFamilia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindo kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street, Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.

Bwana ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...