Na MWANDISHI WETU
MABONDIA Idd Mkwela pamoja na Hussein Gobosi wamepima uzito kwa leo kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi ya julai 16 katika ukumbi wa Travetain Magomeni mpambano uho wa Kg 61 utakuwa wa raundi sita na umekuwa na changamoto kemkem baada ya kila bondia kutambiana kwa kambi zao katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Mbali na mpambano huo kesho kutakuwa na mapambano mbalimbali ya ngumi zitakazopigwa kesho ambapo bondia Hussein Itaba atapambana na Ibrahimu Tamba katika uzito wa kilo gram 76mpambano wa raundi nane.
katika upimaji uzito huo uliiofanyika soko la ndizi mabibo katika uwanja wa mpira wa las vegas kulikua na shangwe na shamlashamla za mashabiki waliojitokeza kwa ajili ya kushudia shughuli nzima ya upimaji uzito
Bondia Idd Mkwela akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava Nadr Donard Madono.
Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni. |
Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni.
Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni.
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na mabondia Vicent Mbilinyi kushoto na Idd Mkwela ambaye anatarajia kucheza kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni ambapo atazipiga na Hussein Goboss.
Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
No comments:
Post a Comment