https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, December 05, 2016

Mkutano Mkuu wa Chama cha wamiliki wa blog waanza kwa semina kabambe

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas(wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama)  akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar es Salaam leo

Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas  akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.
Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas  akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...