https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Tuesday, December 13, 2016

CCM kufanyika mabadiliko makubwa, DC Polepole arithi mikoba ya Nape Nnauye

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo tarehe 13/12/2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha kawaida. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dr. John Pombe Magufuli.
Mikoa ya Bara 26x1 = 26
Mikoa ya Zanzibar 6x1= 6
Mikoa ya Bara 26x1= 26
Mikoa ya Zanzibar 6x4= 24
Kutoka Bara = 15
Kutoka Zanzibar =15
UWT= 5
WAZAZI= 5
Wajumbe wa NEC kutoka Bungeni =5
Mwenyekiti wa CCM= 1
- Makamu Mwenyekiti (B)= 1
-Makamu Mwenyekiti (Z)= 1
- Makamu wa Rais = 1
- Waziri Mkuu = 1
- Makamu wa Pili wa Rais (Z) =1
- Spika wa Bunge = 1
- Spika wa BLW = 1
- Mwenyekiti wa UWT= 1
- Mwenyekiti wa WAZAZI=1
-Mwenyekiti wa UVCCM =1
- Katibu Mkuu – WAZAZI =1
- Katibu Mkuu – UWT = 1
- Katibu Mkuu – UVCCM = 1
Jumla: 158
#.Vikao vya kawaida vya Halmashauri Kuu ya Taifa vitafanyika kila baada ya miezi sita badala ya miezi minne kama ilivyo sasa isipokuwa vinaweza kufanyika vikao maalum inapohitajika.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar)
Makamu wa Rais
Katibu Mkuu wa CCM
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Waziri Mkuu
Makamu wa Pili wa Rais (Z)
Spika wa Bunge la Tanzania
Spika wa BWL
Mwenyekiti wa WAZAZI
Mwenyekiti wa UWT
Mwenyekiti wa UVCCM
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizesheni
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha
Katibu wa wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Wajumbe watatu (3) wa kuchaguliwa na Halmashauri Kuu kutoka Tanzania (B)
Wajumbe watatu (3) wa kuchaguliwa na Halmashauri Kuu kutoka Zanzibar
Katibu wa Uchumi na Fedha wa Mkoa - 1
Wajumbe wa kuchaguliwa na H/Mkoa - 2
Katibu wa Uchumi na Fedha wa Wilaya - 1
Katibu wa Kamati ya Madiwani - 1
Wajumbe wa kuchaguliwa na H/Kuu ya (W)- 2Jumla: 4
Idadi ya kuanzisha Shina iwe wanachama 50 hadi 300.
Hata hivyo idadi hii izingatie eneo la kijiografia na wingi wa wanachama katika eneo hilo.
Mwanachama atakiwe kuwa na nafasi moja tu ya uongozi wa kazi za muda wote kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni za uchaguzi wa Chama Toleo la 2012 kifungu cha 22 na 23 ambazo zimetajwa kuwa ni:-
Mwenyekiti wa Tawi,Kijiji au Mitaa.
Mwenyekiti wa Kata/Wadi.
Mwenyekiti wa Jimbo, Wilaya na Mkoa.
Makatibu wa Halmashauri Kuu wa ngazi zote zinazohusika.
Mbunge, Mwakilishi na Diwani.
Vyeo ambavyo havijatamkwa kwenye Katiba ya CCM haviruhusiwi katika Chama au Jumuiya zake mfano Umoja wa makundi mbalimbali kama Wenyeviti wa ngazi mbalimbali (mfano: Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM n.k), Makamanda (UVCCM), Washauri (UWT) na Walezi (WAZAZI) katika ngazi zote.
Ipo haja ya kufanya uhakiki wa wanachama wa CCM na Jumuiya zake ili kujua idadi sahihi ya wanachama wetu kwa wakati huu. Uhakiki huu uendane na kutoa kadi mpya za uanachama za kielektroniki ili kuwa na udhibiti wa usahihi wa wanachama na kuondoa wanachama HEWA. Aidha, Kadi za UWT, WAZAZI na UVCCM zifutwe ili tubaki na kadi za CCM tu.
Jumuiya za CCM zimetakiwa kufanya kazi zake kwa kuzingatia matakwa ya Katiba ya CCM na Kanuni za Jumuiya husika, kanuni za Jumuiya ziendane na matakwa ya Katiba ya CCM.
Makatibu Wakuu wa Jumuiya wawe wanateuliwa na Kamati Kuu na Manaibu Katibu Wakuu wateuliwe na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
Halmashauri Kuu ya Taifa imeagiza kuundwa kwa Kamati maalum ya kufanya tathimini ya kina kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar kwa ujumla na masuala yanayohusu uchaguzi wa Zanzibar 2015.
#. Col. Ngemela Eslom Lubinga- Kuwa Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr. Asha-Rose Migiro aliyeteuliwa kuwa Balozi
#. Hamphrey Polepole kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Ndg. Nape Nnauye aliyeteuliwa kuwa Waziri.
#. Wajumbe wengine watabaki kama walivyo sasa.
Imetolewa na:-
Nape Moses Nnauye
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
13/12/2016


Pamoja na mambo mengine, Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea taarifa ya Tathimini ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, baada ya kuitafakari taarifa hiyo, Halmashauri Kuu imeamua yafuatayo;-
1. Kupunguza idadi ya wajumbe wa vikao na idadi ya vikao vya Chama katika ngazi mbalimbali ili kuongeza ufanisi wa utendaji wa Chama na kuongeza muda wa viongozi wa Chama kufanya kazi za Chama kwa Umma badala ya kutumia muda mwingi vikaoni.
Ili kuwa na vikao vya Chama vyenye tija inapendekezwa kama ifuatavyo:-
a). Halmashauri Kuu ya Taifa kwa sasa ina jumla ya wajumbe 388 idadi ambayo ni kubwa sana, hivyo inapendekezwa idadi hii ipunguzwe na kuwa wajumbe 158 kama ifuatavyo:-
Wenyeviti wa Mikoa
Wajumbe wa NEC wa Mikoa
Wajumbe wa NEC wa Taifa
Nafasi za Mwenyekiti = 7
Wajumbe wa NEC wa Jumuiya
UVCCM= 5
Katibu wa Kamati ya Wabunge wa CC=1
Wajumbe wa NEC kutoka BLW = 3
Katibu wa Kamati ya Wawakilishi= 1
Wajumbe wa NEC – wanaotokana na Nyadhifa zao

b). Kwa upande wa sasa imeamuliwa wajumbe wa Kamati Kuu wawe 24 badala ya 34 kama ifuatavyo:-
Mwenyekiti wa CCM.
#. Vikao vya kawaida vya Kamati Kuu vipunguzwe ili vifanyike kila baada ya miezi minne badala ya miezi miwili isipokuwa vinaweza kufanyika vikao maalum inapohitajika.
c). Kwa ngazi ya mkoa, Wajumbe wa Kamati za Siasa za Mikoa wapunguzwe kwa kuondoa wajumbe watatu ambao ni:-
#. Vikao vya kawaida vya Kamati ya Siasa ya Mkoa vifanyike kila baada ya miezi mitatu badala ya kila mwezi kama ilivyo sasa isipokuwa vinaweza kufanyika vikao maalum inapohitajika.
d). Kwa upande wa Wilaya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya wapunguzwe kwa kuwoandoa:-
#.Vikao vya kawaida vya Kamati ya Siasa ya Wilaya vifanyike kila baada ya miezi mitatu badala ya kila mwezi isipokuwa vinaweza kufanyika vikao maalum inapohitajika.
#. Muundo wa Wilaya za Chama uendane na muundo wa sasa wa Serikali.
Kata,Tawi na Shina
Idadi ya kuanzisha Tawi iwe wanachama kuanzia 301 hadi 1,000. 
Vikao vya kawaida vya Kamati za Siasa za ngazi hizi viwe vinafanyika mara moja kila baada ya miezi mitatu, isipokuwa vinaweza kufanyika vikao maalum inapohitajika.
#. Nafasi za Uongozi
#. Viongozi wa kuchaguliwa waepuke kuwa watendaji badala yake waongoze na kusimamia shughuli za Chama kwa kuzingatia Katiba na Kanuni.
#.Vyeo ambavyo haviko kwenye Katiba 
#. Uhakiki wa Wanachama wa CCM
#. Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi
#.Uaendeshaji wa shughuli zote za Jumuiya za Chama na mali zake uwe chini ya usimamizi wa Chama Cha Mapinduzi. (Baraza la Wadhamini la Chama Cha Mapinduzi). 
#. Wakati tukiendelea kubaki na Bendera yenye rangi ya kijani na njano na alama ya jembe na nyundo ipo haja ya kuzifanya rangi hizo kuwa na muendekano wa kuvutia zaidi.
#. Utumishi katika Chama na Jumuiya zake. Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ipewe majukumu ya kusimamia ajira za Watumishi wa Chama na Jumuiya zake.
Nafasi za Makatibu Wasaidizi wa Mikoa na Wilaya ziondolewe na badala yake kazi zao zitekelezwe na Makatibu wa Jumuiya za Chama wa Mikoa na Wilaya kwa utaratibu utakaopangwa. Utaratibu huu utakipunguzia Chama Cha Mapinduzi gharama na kujenga umoja wa utendaji kazi wa Chama na Jumuiya zake katika Mikoa na Wilaya.
#. Tathimini ya hali ya Kisiasa na Uchaguzi wa Zanzibar .
# Mwenyekiti wa Kamati ya udhibiti na nidhamu ametakiwa akamilishe kazi ya taarifa ya udhibiti kwa wanachama waliokiuka mienendo ya kiuanachama kabla ya kuanza uchaguzi Mkuu wa Chama mwezi Februari 2017, Mikoa na Wilaya ambazo hazijaleta taarifa zao za kiudhibiti ziwe zimefika kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Udhibiti na Nidhamu kabla ya tarehe 30/01/2017.
#. Uhakiki wa Mali za Chama uendelee kufanyika kwa kina na uchambuzi zaidi ukikamilika Taarifa yake iwasilishwe kwa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa mapema iwezekanavyo.
#. Maamuzi haya yatapelekea kufanyika kwa mabadiliko ya Katiba ya Chama na Kanuni za Jumuiya za Chama.
#. Kwa mambo yale ambayo yatahitaji mabadiliko ya Katiba, Mkutano Mkuu utaandaliwa mapema mwakani na kutafakari na kupitisha mabadiliko hayo ya Katiba.
Aidha Mwenyekiti wa Taifa Dr. John Pombe Joseph Magufuli ameteua wafuatao kujaza nafasi mbalimbali ndani ya sekretarite. Ambazo zimekuwa wazi kutokana na waliokuwa wakizishikilia kupewa majukumu mengine ya kiserikali.
#.Ndg. Rodrick Mpogolo anakuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndg. Rajabu Luhwavi ambaye ameteuliwa kuwa balozi.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...