https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, January 04, 2016

Tuwajali Foundation watembelea kituo cha Sifa na kutoa misaada

Baadhi ya wana kikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.

Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation.
 Bi. Sifa (Kulia) ambaye ndiye mwanzilishi wa  kituo hicho cha Sifa Foundation akiwa anatoa shukurani kwa mmoja wa kiongozi wa Tuwajali Foundation Bw. Nurdin baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Unga, Mchele, Sabuni, Nguo na vitu vya kuchezea watoto.
Baadhi ya wanakundi la Tuwajali wakiwa katika kituo hicho na watoto.
Wanakundi wa Tuwajali wakiwa pamoja na watoto hao baada ya shughuri ya kukabidhi msaada huo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...