https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Wednesday, January 13, 2016

Mbunge wa jimbo la Arumeru ajichimbia China kusaka

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China.
Mheshimiwa Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo kuona namna ya kupata vifaa hivyo kwa ajili ya kusidia katika Hosptali ya wilaya ya Arumeru na vituo vya afya.
Mh Nassari akiwa amelala kwenye moja ya vitanda vya wagonjwa alivyokuta katika karakana hiyo.
MhNassari akipita katika karakana hiyo . 
Mh Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo ambako anatarajia kutumia fedha za mkopo wa gari la Ubunge kwa ajili ya kununua vitanda 200 ,viti vya magaurudumu pamoja na kabati ndogo za kuhifadhia dawa pamoja na vifaa vidogo vya matibabu. Picha kwa hisani ya Dixon Busagaga.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...