https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Friday, January 01, 2016

Tunakutakia kheri na baraka tele ya mwaka mpya wa 2016

Mtandao huu unakutakia kheri ya mwaka mpya. Mwaka huu wa 2016 uwe mzuri zaidi kwako na uwe na mafanikio lukuki. Tusherehekee Sikukuu hii ya mwaka mpya kwa amani. Tusitumie ulevi kupitiliza. Tukiwa tumelewa tusiendeshe vyombo vya usafiri. Turekebisha makosa yaliyojitokeza mwaka 2015 kwa ajili ya kuwa na mwaka mwema wa 2016, ikiwa leo ni siku ya kwanza tangu kuanza mwaka huu.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...