https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Tuesday, July 11, 2017

Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia alipotembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Saba Saba jana

Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, HE Hemed Mgaza, wa pili kutoka kulia, akiwa na mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya MIT Group of Companies kutoka Saud Arabia, Sameer Saleh Ahmed, wa pili kutoka kushoto wakiwa ndani ya banda la Kampuni ya Chai Bora kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mh Hemed Mgaza, akipata maelekezo yanayohusu utalii wa Tanzania kutoka kwa Aloyce Songay, Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Binafsi ya Hifadhi Mazingira Karatu (HIMAKA).

 Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Mamlaka ya Korosho Tanzania katika Maonyesho ya Kimataifa ya Saba Saba nchini Tanzania.
Balozi wa Tanzania nchini Saud Arabia, HE Hemed Mgaza, akiwa kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba nchini Tanzania.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...