Afisa
Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim
Losai, akitoa mada wakati wa ufungaji wa Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemavu lililoanza jana Nov 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limefungwa hii leo hayo.
Mkufunzi
Mwelekezi, Salma Maoulid, akisimamia zoezi la maswali na majibu wakati wa kufunga Tamasha la
Tano la Watu wenye Ulemavu lililoanza jana kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo
Plaza jijini Dar es Salaam.
Afisa Uchumi Mwandamizi, Mchambuzi na Mipango, Andrea Aloyce, akitoa
mada kwa washiriki wakati wa kufunga Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemabu
lililoanza Nov 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl – Ubungo Plaza jijini
Dar es Salaam.
Mshereheshaji akiendelea kuongoza Tamasha hilo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Governance & Economic Policy Centre, Moses
Kulaba, akitoa mada kwa washiriki wakati wa kufunga Tamasha la Tano la Watu
wenye Ulemabu lililoanza Nov 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl – Ubungo
Plaza jijini Dar es Salaam.
Mkalimani akiwatafsiria walemavu Viziwi kila kilichokuwa kikizungumzwa ukumbini hapo
Mshereheshaji akiendelea kuwachangamsha washiriki, ''Abunuasi aliwauliza Je mnajua nichowaitia?
Wakajibu hapana, akwaambia basi kama hamjui basi rudini nyumbani, wakarudi, Siku yapili Je mnajua nilichowaitia?
Wakajibu Ndiyooo,akawaambi basi kama mnajua basi rudini nyumbani kwa sababu mnajua ninachotaka kuzungumza nanyi, ikabidi waondoke, Siku ya Tatu wakaja tena alipo wauliza Je mnajua nilichowaitia?
siku hiyo wakakubaliana kujigawa wengine wakasema Ndiyoooo, na wengine wakajibu Hapanaaaa, akawaambia basi sasa itabidi nyie mnaojua muwaambie hao wasiojua kile ninachotaka kuzungumza, kisha mrudi nyumbani'' kila mmoja akaguna na kuondoka mahala hapo kwa hasira.
Mshiriki akiongozwa kuingia ukumbini.
Mshiriki akiuliza swali.
Sehemu ya washiriki wa Tamasha hilo wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea
ukumbini hapo.
No comments:
Post a Comment