https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Monday, October 10, 2016

Profesa Lipumba aanza ziara ya mikoa ya Kusini kwa mbwembwe lukuki

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameanza kufanya ziara za kukijenga chama chao akianzia na mikoa ya Kusini. Pichani juu ni moja ya tawi la Ngome Asili likizinduliwa leo na Lipumba. Picha kwa hisani ya CUF. 

Wafuasi, wapenzi na wanachama wa CUF wakifuatilia uzinduzi wa tawi hilo jipya la CUF, katika mikoa ya Kusini.
Profesa Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu lenye maandishi ya CUF mgongoni akiwa kwenye mikutano ya ziara hiyo leo.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...