Mbali na mpambano huo siku hiyo bondia chipkizi anaekuja kwa kasi zaidi katika mchezo wa masumbwi Vicent Mbilinyi anaetokea katika Super D Boxing Promotion atapambana na Mwinyi Mzengela, mpambano wa KG 63 raundi nane huku bondia Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wakionyeshana kazi na Pius Kazaula atakumbana na Seba Temba.
Thursday, February 04, 2016
Bondia Mada Maugo na Abdallah Pazi kuparuana Sikukuu ya Pasaka
Mbali na mpambano huo siku hiyo bondia chipkizi anaekuja kwa kasi zaidi katika mchezo wa masumbwi Vicent Mbilinyi anaetokea katika Super D Boxing Promotion atapambana na Mwinyi Mzengela, mpambano wa KG 63 raundi nane huku bondia Cosmas Cheka na Mohamed Matumla wakionyeshana kazi na Pius Kazaula atakumbana na Seba Temba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment