https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Wednesday, December 31, 2014

Cheka na King Class wapima uzito kwa ajili ya kutwangana Februari 28

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Anthony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga Februari 28 katika Ukumbi wa frends corner manzese Dar es Salaam picha zote na Super D.
Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam.

Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam. 
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb  katika ukumbi wa frends corner Manzese Dar es Salaam.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...