https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Sunday, October 04, 2015

Mchungaji Christopher Mtikila afariki Dunia kwa ajali

Mwanasiasa maarufu nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mchungaji Christopher Mtikila, amefariki Dunia alfajiri ya leo akitokea mkoani Njombe katika kampeni zinazoendelea. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari vinaonyesha kwamba mchungaji alifariki papo hapo baada ya kupata ajali hiyo. 

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...