https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543

Recent Post

Sunday, August 03, 2014

Habari za hivi punde, Michael Wambura afukuzwa uanachama wa klabu ya SimbaHATIMAE Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania FAT sasa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Michael Wambura, ametimuliwa kuwa mwanachama wa klabu ya Simba, kwa tuhuma za kuipeleka klabu yake mahakamani.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...