JIJI
la Dar es Salaam baadhi ya maeneo yake yamekuwa yakikumbwa na mafuriko kutokana
na serikali za mitaa kutokuwa makini katika utunzaji wa mazingira pamoja na
mifereji yake kuziba kwa uchafu, kama unavyoonekana mtaro huu maeneo ya Tabata
Bima, yakiwa na uchafu mwingi. Picha na Kambi Mbwana.
No comments:
Post a Comment