Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma
zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es
Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kutoka (kushoto) ni Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge
ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba, Waziri wa Ujnezi, Dkt. John
Pombe Magufuli na (kushoto) kwa Makamu ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius
Mwakalinga na Naibu Katibu Mkuu wa Ujenzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa moja kati ya Nyumba 851, baada
ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo za Watumishi wa Umma
zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es
Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kushoto ni Mtendaji Mkuu
wa TBA, Elius Mwakalinga na (kulia) ni Waziri wa Ujnezi, Dkt. John
Pombe Magufuli.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia wananchi wa Bunju B, wakati alipofika kuweka Jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika
eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe
hiyo liyofanyika leo.
Waziri
wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza machache na wananchi
wa Bunju B, kabla ya kumkaribusha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,
kuwahutubia Wanancnhi hao, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo,
Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo
liyofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga,
wakati akikagua ramani za ujenzi wa Makazi ya Nyumba 851 za Watumishi
wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini
Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitambulishwa kwa baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara na TBA,
wakati alipowasili katika shighuli hiyo.
akamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya
Ujenzi na TBA.
akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara
ya Ujenzi na TBA.
akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara
ya Ujenzi na TBA.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Vijana wa Kikundi cha Uhamasishaji, waliokuwepo katika
sherehe hiyo, mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba
851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya
Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipunga mkono kuwaaga wananchi wa Bunju B, wakati akiondoka eneo hilo
baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa
Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es
Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Picha zote na OMR
No comments:
Post a Comment