Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akimkaribisha
Naibu Waziri katika Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti cha
China Ai Ping ambaye amewasili nchi kuhudhuria Mkutano wa Sita wa
Makatibu Wakuu wa Vyama Vya Ukombozi Afrika utakaofanyika tarehe 9
Oktoba 2013 Kunduchi mjini Dar es salaam.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akizungumza
na Naibu Waziri katika Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti Ai
Ping mara tu alipowasili nchini kwa kuhudhuria mkutano wa sita wa
Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi.
No comments:
Post a Comment