Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas(wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar es Salaam leo
Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.
No comments:
Post a Comment