MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imemuhukumu kifungo cha
nje cha mwaka mmoja Sheikh Issa Ponda sambamba na kuwaachia wafuasi wake 39 katika kesi iliyohudhuriwa na watu wengi waliokwenda
kwa ajili ya kuangalia nini kitatokea kwa Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya
Kiislamum hapa nchini.
Sheikh Ponda
Watu wakifurahia hukumu hiyo leo
Ponda amehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja, huku washtakiwa
wenzake 49 wakiachiwa huru. Kesi hiyo ilikusanya watu wengi, huku waislamu
wengi wakitumia mtindo wa kuhamasishana ili waende kwa wingi kusikiliza kesi
hiyo.
No comments:
Post a Comment