Pages

Pages

Thursday, May 09, 2013

Sheikh Ponda anusurika kwa kufungwa kifungo cha nje mwaka mmoja



MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imemuhukumu kifungo cha nje cha mwaka mmoja Sheikh Issa Ponda sambamba na kuwaachia wafuasi wake 39 katika kesi iliyohudhuriwa na watu wengi waliokwenda kwa ajili ya kuangalia nini kitatokea kwa Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya Kiislamum hapa nchini.
 Sheikh Ponda
Watu wakifurahia hukumu hiyo leo
Ponda amehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja, huku washtakiwa wenzake 49 wakiachiwa huru. Kesi hiyo ilikusanya watu wengi, huku waislamu wengi wakitumia mtindo wa kuhamasishana ili waende kwa wingi kusikiliza kesi hiyo.


No comments:

Post a Comment