Mkazi
wa kijiji cha Komsala, Mwanaisha Mdingo, kulia akionyesha uwezo wake wa
kucheza drafti kama alivyokutwa na mpiga wetu jana. Wanawake wamekuwa
wakijitahidi kufanya kila kinachofanywa na wanaume, kama vile mpira
wa miguu, ngumi na mingineyo. Picha na Kambi Mbwana.
No comments:
Post a Comment