Pages

Pages

Tuesday, December 11, 2012

Ngoja nikuonyeshe kiwango


Mkazi wa kijiji cha Komsala, Mwanaisha Mdingo, kulia akionyesha uwezo wake wa kucheza drafti kama alivyokutwa na mpiga wetu jana. Wanawake wamekuwa wakijitahidi kufanya kila kinachofanywa na wanaume, kama vile mpira wa miguu, ngumi na mingineyo. Picha na Kambi Mbwana.

No comments:

Post a Comment