Mkazi wa kijiji cha Kwedikabu, Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga, jina lake halikupatikana mara moja, akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kijijini kwao jana. Vijiji vingi vina vipaji, lakini mfumo mbovu uliopo unafifisha ndoto zao. Picha na Kambi Mbwana.
No comments:
Post a Comment