Adamu Ngange katikati akiwa na kocha wake |
Bondia Hussein Gobossy kushoto akipambana na Adamu Ngange wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo chanika Dar es salaam jana Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne picha zote kwa hisani ya Super D. |
No comments:
Post a Comment