Pages

Pages

Sunday, October 06, 2013

Nange amtandika kwa K,O mpinzani wake Hussein Gobossy

Bondia Adamu Ngange kushoto akipambana na Hussein Gobossy wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo chanika Dar es salaam jana Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne.

Adamu Ngange katikati akiwa na kocha wake
Bondia Hussein Gobossy  kushoto akipambana na Adamu Ngange wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo chanika Dar es salaam jana Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne picha zote kwa hisani ya Super D.

No comments:

Post a Comment