Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA
Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM jana tarehe 12/2/2013,
katika Makao Makuu ya CCM,mjini Dodoma
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa
tiketi ya CHADEMA Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM,wakati wa sherehe
za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM.
No comments:
Post a Comment