SEMINA KUHUSU TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO NA UTAWALA BORA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Taasisi
isiyo ya kiserikali ya ISACA Tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akifafanua jambo
wakati wa semina kuhusu teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza
kuchangia maendeleo ya uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo
iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers
Development. (Picha na Habari Mseto Blog)
Rais
wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface
Kanemba
akitoa mada katika semina hiyo.
Washiriki wa semina.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Norway
Registers Development (NRD), Jon Birger F Jalestand amkitoa mada katika semina
hiyo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Taasisi ya Norway
Registers Development (NRD), Jon Birger F Jalestand amkitoa mada katika semina
hiyo.
Rais
wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu
teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya
uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA
Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers
Development. (NRD)
No comments:
Post a Comment