https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Sunday, May 14, 2017

Mbunge wa Lushoto akagua barabara ya Mombo

Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akiangalia athari za barabara ya Mombo hadi Soni ambayo imefungwa kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na vifusi.

Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akitazama maeneo yaliyoathirika.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akipita kwenye baadhio ya maeneo yaliyoathirika na udongo kushuka na kusababisha adha kwa wasafiri.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akisistiza jambo kwa wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akisalimiana na wananchi.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha na wapiga kura wake mara baada ya kukutana nao akiwa njiani kuelekea kwenye kukagua athari za mafuriko.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama eneo ambalo limetoka jiwe kubwa ambalo lilishuka kwenye barabara ya Mombo- Soni na kusababisha kufungwa.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiteta jambo na wataalamu wanaosimamia zoezi la kuondosha kifusi na mawe.
Creda likiendelea na kazi yake kama kawaida.
Baadhi ya wananchi wakipita kwenye barabara hiyo mara baada ya greda kuondoa kifusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyokuwa wameangukiwa na vifusi


Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto,Ramadhani Mahanyu akizungumzia suala hilo
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bumbuli akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ambayo wamekumbana nayo watumiaji wa barabara ya Mombo-Soni kutokana na mawe na vifusi kudondoka


Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi  alimaarufu Bosnia akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na athari za barabara ya Mombo hadi Soni kuharibika 
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...