TBL yakabidhi magodoro 210 na vyandarua 200 kwa Hospitali za Kiaseni na Huruma
|
Kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk Ibrahim Msengi akikabidhi msaada
wa magodoro kwa mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk Mtumwa Mwako
mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya Bia Tanzania TBL.katikati ni
mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindi. |
|
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve
Kilindi,(katikati)akimkabidhi kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk
Ibrahim Msengi msaada wa magodoro kwa ajili ya hosptali ya Huruma ya
wilayani Rombo pamoja na kituo cha Afya cha Uru Kiaseni ,kulia kwake
ni mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk Mtumwa Mwako. Jumla ya
magodoro 210 na vyandarua 200 vimetolewa na TBL kwa ajili ya kituo chaAfya cha Uru Kiaseni na hosptali ya Huruma . |
|
Wakiwa katika picha ya pamoja na Waganga wa vituo hivyo.
|
|
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve
Kilindi,(katikati)wakifurahia jambo na kaimu mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Dk Ibrahm Msengi (Kulia )pamoja na mganga mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Dk Mtumwa Mwako mara baada yaTBL kukabidhi msaada wa
magodoro 210 na vyandarua 200 kwa kituo cha Afya cha Uru Kiaseni na
hosptali ya Uhuruma . |
|
Mganga wa kituo cha Afya cha Rau Kiaseni Dk. Delfina
Materu(katikati)akizungumza na wanahabari (hawako pichani)mara baada
ya kupokea msaada wa Magodoro kutoka kampuni ya bia Tanzania(TBL)shoto
kwake ni Meneja mauzo wa TBL mkoa wa Kilimanjaro Leiya Hermenegild. |
No comments:
Post a Comment