Mwenyekiti UVCCM Taifa aanza ziara ya kichama mkoani Morogoro
Vijana machacahari
Mtela Mwampamba na Juliana Shonza walioihama Chadema hivi karibubi, wakiserebuka
nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro, baada ya msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa
Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Sadifa Hamis Juma kuwasili kwenye ofisi hiyo,
Februari 28, 2013 kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo.
Sadifa akipatiwa
burudani ya shairi na mmoja wa waghani maarufu wa mashairi mkoani Morogoro.Kulia
ni Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda
Mwenyekiti wa
UVCCM, Sadifa Hamis Juma akiwa na Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro, Sixtus Mapunda
wakati wa mkutano wa ndani kati ya Mwenyekiti huyo na wajumbe wa Baraza la
Vijana mkoa wa Morogoro
Mkuu wa Utawala wa
UVCCM Taifa, Abdallah Mpokwa akitoa utambulisho wa watu walioambatana na Sadifa
kwenye msafara huo, katika ukumbi wa CCM mkoa wa Morogoro
Kada wa CCM
aliyehamia kutoka Chadema hivi karibuni, Mtela Mwampamba akisalimia baada ya
kutambulishwa ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Juma Borafya akisalimia baada ya
kutambulishwa kwenye kikao hicho cha ndani. Wapili kulia ni Katibu wa CCM Wilaya
ya Morogoro mjini, Ali Issa, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM, Taifa, Mfaume Kizigo na
Sixtus Mapunda
VIVA VIJANA
VIVAAAA!!!!!, Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda akiongoza salaam
maalum kwa Vijana wa UVCCM ukumbini. Pamoja naye kutoka kulia ni Katibu wa CCM
Morogoro, Ali Issa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Mfaume Kizigo. Walioketi
kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Harrieth Sutta na Mwenyekiti wa
UVCCM Taifa, Sadifa.
VIVAAAA!!!, vijana
wakiitikia salam ya Sixtus ukumbini, baadhi yao ni Shonza na Abubakar
Assenga
VIVAAAA,
VIVAAAA!!!!, Vijana wakiitikia salam
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa
wa Morogoro Herieth Sutta akimkaribisha Sadifa kuzungumza kwenye mkutano huo.
Kulia ni Sixtrus Mapunda
NAFURAHI KUWA NA WEWE!
Sadifa akimwambia Sixtus Mapunda kabla ya kuanza hotuba yake ya mkutano huo wa
ndani uliofanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Morogoro
Sadifa akizungumza
kwenye mkutano huo wa ndani
Sadifa akisisitiza
jambo
Na kusisitiza zaidi
Sadifa akizidi
kusisitiza hotuba yake huku viongozi wakiwa makini kumzikiliza
ULIOCHAGULIWA
MSIJIKWEZE, JISHUSHENI KWA WANACHAMA", Anasema Sadifa
"Wapendeni waliowapinga
wakati wa uchaguzi" msiwanunie, kama mtu hakukuunga mkono leo kwa hili ipo siku
atakuunga kwa jengine", akasema
Sadifa akitoka na
wenyeji wake ukumbini
No comments:
Post a Comment