Mkurugenzi wa Tayodea, David Chanyege akizungumza wakati wa halfa hiyo kushoto kwake ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza.
Mwenyekiti wa Tayodea Stephen Kiama Mwaimu akizungumza wakati wa halfa hiyo |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muheza akizungumza kwenye halfa hiyo |
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza kushoto akionyeshwa kitu na Meneja wa Mradi wa WEKEZA wa Tayodea Michael Mchomvu wakati wa halfa hiyo
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza akitazama vifaa mbalimbali vya ushonaji wa kwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Tayodea ,David Chanyegea
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza akimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi wa Tayodea,David Chanyegea kulia wakati wa halfa ya kukabidhiwa vifaa vya ushonaji kwa vijana kupitia mradi wa WEKEZA.
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye pia ni Mkuu wa
wilaya ya Muheza katikati akiteta jambo na Katibu Tawala wa wilaya ya
Tanga,Faidha Salim kulia ni Mkurugenzi wa Tayodea,David
Chanyegea
Meneja wa Mradi wa WEKEZA wa Tayodea Michael Mchomvuwa kwanza kulia akifuatilia hotuba ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo wakati wa kukabidhiwa vifaa kwa vijana.
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment