Baadhi ya wazee
waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akizungumza wakati wa zoezi hilo la
upasuaji
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wazee waliojitokeza kupatiwa huduma za upasuaji wa macho waliokuwa na matatizo ya mtoto wa Jicho
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia akimkabidhi msaada wa vyakula mbalimbali mwakilishi wa wazee waliofanyiwa upasuaji wa macho ili viweze kuwasaidia baada ya kumalizika upasuaji huo watakapokwenda majumbani mwao wanaoshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Luiza Mlelwa na Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo, Mathew Mganga wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza
Desderia Haule
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akipongezwa na mwakilishi wa wazee hao mara baada ya Mkuu wa wilaya hiyo,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo wa pili kulia kuwakabidhi vyakula vitakavyowasaidia watakapotoka kwenye matibabu hayo na kurejea makwao Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment