Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo (pichani) katika Jengo jipya la
Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo
na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea katika Kituo cha Amani na
Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika kilichopewa jina la Rais wa kwanza
wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Addis Abba nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment