https://tpc.googlesyndication.com/simgad/8045142562622600543


Recent Post

Tuesday, November 01, 2016

Matokeo ya Ikungi Half Marathon yatangazwa


Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 wakitimua mbio kutafuta ushindi

WANAUME KM. 21
 
NA.
JINA KAMILI
UMRI
MUDA
TARAFA
KATA
BIBS NAMBA
1.
PAULO ITAMBU
25
1:08:55
MUNGAA
MUNGAA
396
2.
SAMWEL SHABANI
20
1:09:06
MUNGAA
MUNGAA
356
3.
JONAS JOHN
22
1:09:25
MUNGAA
MUNGAA
366
4.
ELIBARIKI SAIMON
29
1:10:57
IHANJA
ISEKE
338
5.
JAFARI RAJABU
26
1:11:06
IHANJA
KITUNTU
369
6.
HAMISI ATHUMANI
25
1:12:02
IHANJA
ISEKE
343
7.
SAMSON LYIMO
23
1:12:37
MUNGAA
MAKIUNGU
357
8.
MUSA JUMANNE
26
1:13:53
MUNGAA
MUNGAA
346
9.
JOHN SIMBA
23
1:15:07
IHANJA
PUMA
340
10.
EMANUEL NJOGHOMI
30
1:15:34
IHANJA
KITUNTU
339
11.
ABEDNEGO WILSON
18
1:15:46
IHANJA
MUHINTIRI
345
12.
MORIS JOSEPH
21
1:15:50
MUNGAA
NTUNTU
368
13.
ANTHON ALFONCE
27
1:15:51
IKUNGI
UNYAHATI
352
14.
JUMA NKITO
28
1:16:15
IHANJA
IHANJA
342
15.
JOSEPH CHIMA
26
1:16:18
IHANJA
MUHINTIRI
341
16.
HASHIMU HAMISI
23
1:16:19
IHANJA
KITUNTU
344
17.
HAMISI SAIDI
45
1:16:59
MUNGAA
MAKIUNGU
354
18.
LYANGA MANASE
23
1:17:07
IKUNGI
MANG’ONYI
365
19.
TELESPORI MARCO
20
1:17:18
MUNGAA
NTUNTU
367
20.
DAVID JUMA
20
1:17:58
IKUNGI
IKUNGI
397
21.
SAIDI SHABANI
21
1:18:50
SEPUKA
SEPUKA
349
22.
LEONARD PAULO
20
1:20:43
MUNGAA
MAKIUNGU
355
23.
JOSEPHATH MWAYA
28
1:21:49
IKUNGI
DUNG’UNYI
360
24.
IDD SHABANI
23
1:21:50
IHANJA
KITUNTU
370
25.
JAMES NG’WII
27
1:24:03
IKUNGI
MANG’ONYI
359
26.
ELISHA RUBENI
25
1:25:21
IKUNGI
IKUNGI
364
27.
HAJI ATHUMANI
24
1:25:44
SEPUKA
SEPUKA
350
28.
RAJABU OMARI RAMADHANI
18
1:28:42
SEPUKA
SEPUKA
348
29.
JOHN JOSEPHATH
22
1:28:47
IKUNGI
MKIWA
353
30.
OMARI MWELA
25
1:29:07
SEPUKA
SEPUKA
351
31.
ZUBERI RAJABU
19
1:29:17
SEPUKA
MTUNDURU
1682
32.
HASSANI SAIDI
23
1:29:29
SEPUKA
SEPUKA
347
33.
PHILIMON BASILI
23
1:35:59
IKUNGI
MANG’ONYI
358
34.
CHIMA GHULIKO
24
1:46:27
IKUNGI
IKUNGI
363

Fainali ya Fiesta Supa Nyota kufanyika Novemba 5

 Mratibu  wa Mradi wa Tamasha la Fiesta 2016 kutokaTigo, Balla Shareeph (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kuwataja  washindi 16 Super Nyota Tigo Dar es Salaam leo. Kulia ni Mratibu wa shindano hilo, Nickson George na katikati ni Mshindi wa shindano, Galla Mligo 'Galla Bway' kutoka Dar es Salaam ambaye alizungumza kwa niaba ya washindi wote.

Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam
Kampuni inayo ongoza kwa maisha ya kidijitali ya TigoTanzania  leo imewatangaza washindi 16 washindano la Tigo Fiesta Super Nyota lililofanyika katika mikoa 15 ya Tanzania Bara. 

Shindano hilo lililoratibiwa na Kampuni ya Prime Time Promotions liliendeshwa katika mikoa hiyo kwa kipindi cha miezi miwili na nusu. 
Mshindi wa fainali yake atajulikana wakati wa fainali ya mwisho Novemba 5, 2016 itakayofanyika jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika mkutano wa vyombo vya habari wakati wa kutangaza washindi hao, Mratibu  wamradi wa Tamasha la Fiesta 2016 kutokaTigo, Balla Shareeph
alisema, “ Tigo inaonafahari kuinyanyua sekta ya muziki ya Tanzania  kwa kuwapatia wasanii wanaoibukia jukwaa la kuonesha vipaji vyao waweze kufikia kiwango cha juu nchini na wakati huo huo kuwawezesha kutambuliwa na chapa mbalimbali za muziki.”
 Mratibu wa shindano hilo, Nickson George  (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.

Mgodi wa ACACIA watoa msaada wa vifaa tiba wilayani Kahama

Kulia ni meneja wa mgodi wa dhahabu wa Acacia Buzwagi uliopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga Asa Mwaipopo akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu mashine maalumu ya ufuatiliaji wa mapigo ya moyo ya mgonjwa kwa ajili hospitali ya halmashauri ya mji wa Kahama.


Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia kupitia mgodi wake wa Buzwagi imekabidhi vifaa tiba vya kisasa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi 22,410,000/= kwa  hospitali ya halmashauri ya mji wa Kahama kwa ajili ya kuisaidia katika kuboresha huduma zake za fya kwa jamii. Vifaa vilivyokabidhiwa ni mashine tatu maalumu za oksijeni, viti vitano vya magurudumu kwa ajili ya wagonjwa,machela mbili za kisasa zenye magurudumu,mashine maalumu ya ufuatiliaji wa mapigo ya moyo ya mgonjwa na mashine mbili maalum za umeme za kusafishia vifaa vya upasuaji.  Akikabidhi vifaa hivyo kwa uongozi wa hospitali hiyo, meneja mkuu wa mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo alisema wametoa msaada huo baada ya uongozi wa Acacia kutembelea hospitali hiyo na kujionea mapungufu ya vifaa tiba.

“Kutokana na kwamba kuwajibika kwa watu wetu na jamii inayozunguka imekuwa utamaduni wetu,tulifanya kikao na baadhi ya viongozi wa hospitali hii,walionesha nia ya kuhitaji msaada ili kukabiliana na changamoto za tiba”,alieleza Mwaipopo. “Kama sehemu ya mpango wa sera yetu ya mahusiano ya jamii,leo tunakabidhi vifaa hivi ambavyo tunaamini vitasaidia kupunguza changamoto mbalimbali za tiba kwa wagonjwa na kuleta ahueni kwa wagonjwa na pia vitawasaidia madaktari waweze kutoa huduma kwa wagonjwa wengi zaidi ili kuokoa maisha ya watu wengi zaidi”,aliongeza Mwaipopo.

Airtel yawafungulia masoko mapya wajasiriamali wadogo Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mradi wake wa Airtel FURSA mwisho mwa wiki imewakutanisha baadhi ya wajasiliamali jijini Dar es salaam katika maonyesho maalum ya ‘Airtel FURSA Wajasiliamali Bazaar’ yaliyoandaliwa nje ya kiwanja cha ofisi kuu ya Airtel vilivyoko Morocco kwa leongo la kuwakutanisha wajasilimali hao na wateja mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha kutanua masoko yao na kuuza bidhaa zao.

Baadhi ya wajasiriamali walionufaika na mradi wao wa kijamii wa Airtel FURSA  nao walipata nafasi za kuhudhuria na kuonyesha bidhaa zao huku wakiipongeza Airtel kwa kuendelea kuwasaidia kuboresha biashara zao.

“Airtel leo wametusaidia sana sisi kukutana na wajasiliamal wenzetu tukabadilishana ujuzi pamoja na kubadilishana mawasiliano ili tuweze kusaidiana kupeana masoko, vilevile hapa katika jengo tumejipatia wateja wengi sana, hatujaamini kabisa kama tungeweza kuuza hivi, mimi nauza keki nimepata wateja hata wa baadae, kunawenzangu wanaouza Kuku, Mayai, Picha za mapambo ya nyumabani, Mito ya mapambo, Ubuyu, Matunda na Sabuni za kufanyia usafi nyumbani nimefurahi kuona kila mtu ameuza na amejitengenezea wateja wa baadae” alieleza mnufaika wa Airtel FURSA Bi Diana Mushi

Tunawashukuru sana Airtel kwa kutupatia jukwaa hili la kuonyesha bidhaa na huduma zetu kwa wadau mbalimbali na kutuongezea wigo wa soko letu. Alisisitiza Bi Diana

Akitembelea maonyesho hayo  mkuu wa wilaya ya kinondoni alieleza kufurahishwa kwake na vijana hao huku akiwahimiza vijana wengine kuanziasha biashara ndogo ndogo ili na kuzisimamia vyema ili kutengeneza ajira kwa vijana wengine wengi nchini.

Monday, October 31, 2016

Mkutano wa wadau wa pamba wafanyika mkoani Singida

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akifungua Mkutano wa wadau wa pamba wenye dhamira ya kujadili maendeleo ya kilimo cha zao la Pamba katika mkoa wa Singida.
 Wadaau wa kilimo cha Pamba Mkoa wa Singida wakifuatilia kwa makini Mkutano wa kujadili namna bora ya kuimarisha kilimo cha zao hilo katika Mkoa wa Singida.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...