Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua mkutano wa siku mbili wa viongozi wa dini na siasa kuhusu Demokrasia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa
Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu
ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha
nchi za Afrika na kufanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es
Salaam, leo Mei 6, 2014. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment