Pages

Pages

Friday, May 16, 2014

Juhudi zawekwa kuleta mwili wa marehemu Amina Ngaluma



Juhudi zimewekwa ili kuleta mwili wa marehemu Amina Nguluma, ukitokea nchini Thailand, kama njia ya kuwapa watu fursa hususan wadau na mashabiki wa muziki wa dansi nchini kupata nafasi ya kumzika mwanamuziki huyo mahiri wa muziki wa dansi nchini.

Marehemu Amina pichani, anakumbukwa kwa umahiri wake akiwa na bendi mbalimbali, hasa ile ya Double M Sound, ambaye amefariki jana nchini Thailand na kuibua huzuni kwa mashabiki wake, ambapo kila mdau alimzungumzia kuwa kifo cha mwanamuziki huyo ni pengo kubwa.

No comments:

Post a Comment