Pages

Pages

Saturday, March 08, 2014

Taswira ya changamoto za maisha ya wananchi maeneo ya vijijini

Wakazi wa Kitongoji cha Isaka Kata ya Isongo, wilayani Ulanga, Morogoro wakimbeba mgonjwa kwa kutumia machela ya miti kumpeleka hospitali hivi karibuni kutokana na kukosekana miundombinu ya barabara ya kuunganisha kata hiyo na makao makuu ya wilaya. Picha na Juma Mtanda

No comments:

Post a Comment