Pages

Pages

Saturday, February 01, 2014

Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan

Picha juu na chini, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya (kulia kwake) aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014 kwa mazungumzo.
Picha zote na OMR

No comments:

Post a Comment