Pages

Pages

Saturday, February 08, 2014

Kabla ya kipindi cha kwanza hakijamalizika, Arsenal washapigwa nne na Liverpool

HALI ni mbaya kwa mashabiki wa timu ya Arsenal ya nchini Uingereza baada ya kivumbi kinachoendelea kwa kuwakutanisha kati yao na Liverpool kuwa kibaya kwao kwa kipindi hiki cha kwanza. Hadi sasa dakika ya 32, Arsenal wameshafungwa bao 4-0.

Je, hali itaishaje katika kipute hiki? Wadau wote wa soka duniani macho yapo katika mechi hii na aina ya ushindani unaonekana kwenye mechi hii. Mpira unaendelea.

No comments:

Post a Comment