Pages

Pages

Saturday, February 15, 2014

Dayna Nyange, Cindy Sanyu wafunika jijini Mwanza kwenye Sikukuu ya Wapendanao


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akikamua vilivyo usiku huu wa Valentine Day katika Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky City (Mwanza) ambapo katika ukumbi huo huo alikuwepo na mkali  wa muziki Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda pamoja na wasanii wengine wa hapa jijini Mwanza.
Dayna akiimba kwa hisia moja ya wimbo wake mbele ya mashabiki wake.

Nivute kwako!!! ni wimbo wake Dayna akiuimba vyema Jukwaani kwenye Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky City Valentine Day.Dada Carol (kulia) akicheza pamoja na rafiki yake kumsindikiza msanii Dayna kwenye siku ya wapendano.
Dayna akitoa tabasamu hapa!!! Mpaka Shabikia akamfata juu ya jukwaa!Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dayna Nyange akicheza na Shabiki wake.Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda...akaingia kwa stage!! ukumbi ukawaka moto!!!Cindy Sanyu kutoka Nchini Uganda(katikati) akicheza kwa pamoja na wanamuziki wake kuwapa kile Wabongo walichomwitia katika ukumbi huu wa JB Belmonte Hotel. Majanga!! kazi ikakatika!Hakika katushika Cindy

No comments:

Post a Comment