Pages

Pages

Saturday, January 18, 2014

Mtibwa yaiumbua Simba Uwanja wa Taifa baada ya kuwafunga bao 1-0 mbele ya kocha wao Zdravic Logarusic,

IKICHEZA mbele ya kocha wao Zdravic Logarusic, timu ya Simba ilijikuta ikitandikwa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, katika mchezo mkali uliopigwa katika Dimba la Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Bao la Mtibwa Sugar lilifungwa dakika ya 64, kupitia kwa Masoud Ally, ambaye goli hilo alitumia ufundi wa pasi ya Jamal Mnyate, ikianzia kwa Seif Khamis, huku yeye akifanikiwa kufunga kwa shuti kali.
 na Mtibwa Sugar

No comments:

Post a Comment