Pages

Pages

Sunday, January 19, 2014

CCM yazindua Tawi la chama chao Chuo Kikuu cha ECKNFORDE mkoani Tanga


Wanachama wakiapa katika sherehe hizo jana.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Tanga, Salim Kisauji kulia akimkabidhi Katiba ya Chama hicho mwenyekiti wa tawi hilo Aidani Mhando. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa wilaya Tanga, Halima Dendego na Katibu wa Itikadi na Uenezi wilaya ya Tanga, Lupakisyo Kapange.
Mwenyekiti wa Tawi la Chama cha Mapinduzi Chuo Kikuu ECKNFORDE, Aidani Mhando, akizungumza katika sherehe za tawi hilo. Kushoto kwake ni mjumbe wa NEC wilaya ya Tanga, Salim Kisauji na Mkuu wa wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
MNEC wa wilaya ya Tanga Mjini, Salim Kisauji mwenye kofia katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wanachama wapya wa tawi la CCM Chuo Kikuu ECKENFORDE jana.

No comments:

Post a Comment