Pages

Pages

Thursday, September 12, 2013

Bondia Yohana Mathayo Tembo Mtoto aanguka mazoezini na kupoteza maisha

Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
TASNIA ya mchezo wa masumbwi umekumbwa na msuko suko na kuwa na pengo kwa kumpoteza bondia wake Yohana Mathayo aliyefariki ghafla jana jioni alipokuwa akifanya mazoezi.
 bondia Yohana Mathayo 'TEMBO MTOTO' AMEFARIKI DUNIA JIONI YA LEO AKIWA MAZOEZINI MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAHAA MBELE YAKE NYUMA YETU TEMBO MTOTO                R.I.P   YOHANA MATHAYO
Marehemu Tembo Mtoto pichani.
Mathayo anayejulikana kwa jina la Tembo Mtoto, mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu nyingine kuendelea.

Kocha wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila, maarufu kama Super D aliiambia Handeni Kwetu Blog kuwa bondia huyo alianguka ghafla mazoezini na kupoteza maisha.

No comments:

Post a Comment