Pages

Pages

Thursday, July 04, 2013

Basi la Abood lapinduka

Likiwa limepinduka

Likiwa limepinduka
Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya limepata ajali jioni hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, chanzo cha ajali hiyo hakija fahamika mara moja.Picha kwa hisani ya mitandao.

No comments:

Post a Comment