Pages

Pages

Thursday, July 04, 2013

Magufuli aanza mbwembwe za kubomoa majengo, likiwamo la Business Park

 Baada Waziri wa Ujenzi, Pombe Magufuli kutoa maagizo kwa wenye majengo yaliyo pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi, kubomoa wenyewe majengo yao ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo, kuonekana yakisua sua, 

Hatimaye leo ameanza rasmi kazi ya kubomoa kwa Greda katika majengo ya wale walioonekana kukaidi agizo hilo.

Katika kutekeleza agizo hilo zoezi hilo limeanzia kwenye Jengo la Business Park (Green Acres) lililopo eneo la Victoria ambapo hadi hivi sasa zoezi hilo bado linaendelea pande hizo chini ya usimamizi ya Askari wakishirikiana na Watu wanaoonekna kuwa ni wa Majembe.
 Msongamano pande hizo.....
 Tayari ukuta ukiwa umeshashushwa chini wa upande wa barabarani. huku baadhi ya watu wanaofanya shughuli zao katika jengo hilo wakihaha kuhamisha baadhi ya vifaa.
 Tayari ukuta ukiwa umeshashushwa chini wa upande wa barabarani. huku baadhi ya watu wanaofanya shughuli zao katika jengo hilo wakihaha kuhamisha baadhi ya vifaa.

No comments:

Post a Comment