Pages

Pages

Friday, June 28, 2013

Simba wafanya mazoezi babu kubwa, angalia picha za GYM

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya GYM wakisimamiwa kwa karibu na kocha wao Mkuu, King Abdallah Kibadeni hayupo pichani na msaidizi wake Jamhuri Kihwelo Julio.

Kocha msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo Julio wa pili kutoka kulia akisimamia mazoezi ya GYM ya wachezaji wake yanayoendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujiweka sawa.

 Kocha msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo Julio wa pili kutoka kulia akisimamia mazoezi ya GYM.

Tunajifua jamani. Ndivyo wanavyojisemea moyoni mwao wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment